TETEMEKO DOGO LIMETIKISA JIJI LA DAR ES SALAAM MCHANA HUU NA KUFANYAWADAU KATIKATI YA JIJI WAKIMBIE OFISI ZAO HASA ZA MAGHOROFANI.
TETEMEKO HILO LILODUMU KAMA SEKUNDE TATU HIVI LIMETOKEA KWENYE SAA SITA KASOROBO, NA HAKUNA MADHARA YALIYORIPOTIWA HADI SASA.
TUNAFUATILIA KWA WATAALAMU NA TUTAWAPASHA KWA UNDANI MARA TUKIFANIKWIA KUONGEA NAO


BONGO BWANA HAKUNA HATA WALIOTOA TAHADHARI YA KUWA HILO LILIKUWA TETEMEKO. THANKS MEDIA ILA KIKOSI CHA UOKOZI KINATAKIWA KUHUISHWA ILI KIJUE MAJUKUMU YAKE
ReplyDeleteEarthquake Details
ReplyDeletehttp://earthquake.usgs.gov/earthquakes/recenteqsww/Quakes/usc000440z.php
JAMANI MIMI NIMEKIMBIA , SIKUKUMBUKA HATA POCHI. HAPA UMATI TUMEPATA WAZIWAZI. NIPO GHOLOFA YA TATU ULIZA NILIVYOSHUKA NGAZI.WANA HALI YA HEWA WAKO WAPI MICHUZI?
ReplyDeletePoleni. Ni jambo la kumshukuru Mwenyezi mUngu kuona kuwa hakikutokea janga.
ReplyDeleteBado wanataka kujenga maghorofa mengi kwenye eneo dogo kama upanga. Unapozidisha uzito sehemu moja...
ReplyDeleteMagnitude 4.8 TANZANIA
ReplyDeleteFriday, June 10, 2011 at 08:28:13 UTC
Magnitude 4.8
Date-Time Friday, June 10, 2011 at 08:28:13 (UTC) - Coordinated Universal Time
Friday, June 10, 2011 at 11:28:13 AM - Local Time at Epicenter
Time of Earthquake in other Time Zones
Location 7.08S 39.63E
Depth 10.0 kilometers
Region TANZANIA
Distances 52 km (32 miles) ESE of DAR ES SALAAM, Tanzania
105 km (65 miles) SSE of Zanzibar, Tanzania
230 km (142 miles) SSE of Tanga, Tanzania
713 km (443 miles) SSE of NAIROBI, Kenya
Location Uncertainty Error estimate not available
Parameters Nst=0, Nph=0, Dmin=0 km, Rmss=0 sec, Gp=0 degrees
Source USGS NEIC (WDCS-D)
Event ID usc000440z
SOURCE: http://earthquake.usgs.gov/earthquakes/eqarchives/last_event/world/world_tanzania.php
Tumshukuru Mungu halikuuwa watu wala kuharibu kamji ketu. siku hizi inabidi tuishi kwa wasiwasi sana mara Tsunami mara tetemeko. Sijui Mungu amekasirishwa na dhambi zetu hasa kwa vile tumezidisha u-bhoke?
ReplyDeleteHilo tetemeko ni majibu ya dhambi aliyofanya Bhoke. Kujirudisha kwenye hadhi ya mnyama wa porini wakati mungu amekupa hadhi ya binadamu.
ReplyDelete4.5 is not ajoke kwani majengo yetu hayako prepared for anything. Nimeishi Japan na I can feel that 4.8 si kitu cha mzaa. Na kibaya zaidi jueni any time t hii kitu yaweza jirudia na kwa magnitude ndogo au kubwa zaidi. Twafa
ReplyDeleteMrs Golden hapa kwetu Tanzania Mammlaka ya Hali ya Hewa haishughuriki na maswala ya chini ya ardhi, tofauti na baadhi ya nchi za wenzetu ambako wanajiolojia na wanahewa wanafanya kazi kwa pamoja.
ReplyDeleteMaswala ya matetemeko kwa Tz naamini bado yapo chini ya kitivo cha jiolojia pale chuo kikuu.
Hata hivyo sidhani kama Mamlaka zetu kama hizo za Hali Ya Hewa au Mammlaka ya Usafiri wa Anga au hawa watu wa jiolojia zimefikia au zimewezeshwa vya kutosha kuweza kutabiri majanga haya ya asili.
Bado tunarudi pale pale badala ya kuuliza mamlka ya hali ya hewa au hawa wa jiolojia tujiulize tuna uwezo huo (vifaa na watu) wa kuweza kuyaona majanga haya kabla hayajatokea? jibu kwa sasa hakuna na tuombe bongo yetu iendelee kuwa tambarare na tuishi kwa matumaini hadi pale tutakapo amua kudhamini hivi vitu na kuweka siasa pembeni.