Hi Ankal Michuzi!!
Naomba msaada kwenye tuta!!
Mimi Magreth Pendaeli Mushi namtafuta mwanangu mpenzi ZUHURA STANLEY MGWENO ambaye nimepotezana nae tangu mwaka 1995 ila ninachofahamu ni kwamba yuko nchini Finland. Naambatanisha picha yake ya mwisho aliyowahi kunitumia akiwa na rafiki zake hapo chini. Juu akiwa nyumbani Tanzania
Natanguliza shukrani zangu nyingi sana kwa atakae nisaidia kumpata mwanangu jamani.
Anaweza kunitafuta kwa namba zifuatazo:-
Magreth Mushi 0715 810118
Hamza Kiterebu 0716 234729
Akhsante
hello michuzi,nimejitahidi kumsaidia huyu mama,mie niko norway nimejaribu kuunganishwa na telephone operater wa finland wametafuta hilo jina wamelikosa via telephone,nimepata adress yake ambayo ni Zuhura Stanley Mgweno
ReplyDeletekalevantie 21B
26,90570
OULU
FINLAND..
mama pole sana natumaini utampata tuu kupitia blog hii ya jamii.
Jamani namuhurumia huyu mama,sasa huyu msichana mzima au vipi kweli mara ya mwisho kuwasiriana na mama yake ni toka 1995?mimi nimekuja uingereza miaka 19 sasa lakini sipiti week bila kuwajulia hali wazazi wangu,.
ReplyDeleteTuombe mungu huyu msichana mzima wa afya njema,pole sana mama je kama unamarafiki zake wengi labda ujaribu kuwasiliana nao kwakweli ili jambo ni zito.
Mama wasiliana na chama cha watanzania kiitwacho KILIMANJARO mwenyekiti wake anaitwa Zamu hao jamaa wanaweza kukusaidia kwani nimesikia mda si mrefu watakwenda Finland kucheza mpira
ReplyDeleteVinginevyo nitajitahidi mimi mwenyewe nimtafute Majidi Mjengwa ambae yuko Sweden sasa tujue anaweza kukusaidia vp
Pole sana mama
Mdau Iceland
Wabongo kwa ngenga mmezidi,jiulizeni kwa nini kapausha namna hiyo bila kuwasiliana na wazazi then utapata jibuI
ReplyDeleteNimeongea na mtoto wa Zuhura jana,anayemtafuta ni ndugu yake, nimempatia mawasiliano na amesema kupitia kwa mwanae (kwani yeye mwenyewe ana matatizo ya kusikia hivyo hawezi kuongea)kuwa watamtafuta na wameahidi kumtafuta.
ReplyDeleteHaingii akilini tangu 1995 mtu hawasiliani na wazazi wake!
ReplyDeleteni watu wengi sana tumekuwa tukiwatafuta ndg zetu walio nje... hili ni tatizo kubwa... mim binafsi kuwasiliana na kaka yangu mara ya mwisho ni mwaka 2004 hadi leo familia nzima hatujui anaendeleaje huko aliko. alikwenda australia miaka ya mwanzoni mwa 1980 hadi leo hajarudi Tanzania wasifu wake;-
ReplyDeletejina lake: William Dominic (Wills)
umri wake kwa sasa ni zaidi ya miaka 50
kabila: Mbena - asili yake njombe iringa
wazazi wake wanaishi mbeya
kama kunamtu anaweza kuwa na taarifa zake tuwasiliane kwa francylumbo@yahoo.co.uk
Ughaibuni sio Tambarare!! Ndio dunia wengine wanapata mafanikio na wengine wanapata mashaka. Kilichobaki ni kwamba anayemjua amsaidia mama yake kumpa taarifa ili wawasiliane.
ReplyDeleteAnony hapo juu usiseme haingii akili, sisi yaliotutokea ndio tunaojua ukweli, kaka yangu alikaa ugiriki miaka 29 hatukujua habari zake, mpaka siku alivyorudishwa, tulistukia hodi mlagoni tu, ni kweli yapo
ReplyDeleteWatu wengi wakishafika huku mambo yakawaendea vibaya wanajilipua na kujiita majina mengine hasa Watz, wengine wanabadilisha majina au uraia na kujita wasomali, alikuwa mkrisdatu anakuwa mwiisilamu hata mimi namfahamu dada mmoja Tz anamtafuta mume wake tangu aje Ulaya 1992, alikuwa anatuma hela za matumizi ghafla akaacha hadi leo hatuji. Watz tubadilike tusiwape wazazina ndugu zetu pressure
ReplyDeleteJAMANI NANI KAMA MAMA? MUWE MNAULIZIA SANA WAZAZI WENU MSIWASAHAU MTAKOSA BARAKA KAMA NI FINLAND MBONA KARIBU TU NA KAMA UNATAKA URAIYA BORA OLEWA UTAUPATA TU NJOO NYUMBANI UKIKUTA MAMA KAFA UTALILIA WAPI NDIPO UTABAKI NA LAANA TU
ReplyDeleteachenu zenu kubadili majina au kua wasomali imeingiaje hapo
ReplyDelete