Mdau Erena Materu akipozi baada ya kulamba nondozz yake ya International Studies and Development Co-operation katika Chuo Kikuu cha Ewha Womans University, Seol- South Korea.
Aisha Abbas Seif akipozi baada ya kula nondoziii.
wadau wakiwa na wenzao waliohitimu katika Chuo cha Ewha Womans University, Seol- South Korea ( International Studies and Development Co-operation)
Du kama ningekuwa mie vile. hongereni Aisha na Erena. Tanzania oyeee!!
ReplyDeleteCongratulations Aisha, Erena and others! Work well done.
ReplyDeletehizi bora kuliko za kiponjoli
ReplyDeleteCongratulations Erena & Aisha for a work well done. You deserved it, known that you are back to Tanzania I hope, use what you got to build the nation. Humphrey
ReplyDelete