Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo dkt Emmanuel Nchimbi (kushoto) akimpa pole mume wa marehemu Mpiganaji Mikidadi Mahmoud msibani. Wa pili kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama na watatu ni Mzee Kingunge Ngombale-Mwiru Waandishi wa habari waandamizi waliokuwa karibu na Sozzy wakiwa katika majonzi mazito wakati wa kuagwa mwili wa marehemu. Kulia ni Bi Ichikaeli Maro na shoto ni Tuma AbdallahNaibu Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) Sozzy Mahmoud enzi za uhai wake. Marehemu aliyefariki dunia usiku wa kuamkia jana umesafirishwa leo kwenda Mto wa Mbu Arusha kwa ajili ya Mazishi. Msafara wa kuuplele Mto wa Mbu mwili wa Sozzy ambaye alikuwa mke wa Mkurugenzi wa Uhuru FM, Mikidadi Mahmoud yalifanyika nyumbani kwao, Karakata, Kipawa Dar es Salaam. Nape Nnauye na Waziri Nchimbi wakiongea wakati wa kuangwa marehemu Sozzy

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 22, 2011

    Pole sana bro Mikidadi. Tunamwomba Mola amlaze pema peponi marehemu na awape nguvu na subira ya kukubali amri yake Muumba. Amen. Ex-schoolmate in Arusha.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...