Vijana wa Clouds Tv wakiwa ndani ya viwanja vya Carnival jijini Nairobi mchana huu ambako ndiko tamasha la Tusker All Stars 2011 linafanyika,wao kama mambo yatakwenda sawa basi inshaalah watakuwa live kupitia Clouds TV. Kulia ni Razak na shoto ni Raymond wakiwa pamoja na Mehboub al Hadad ambaye ndiye fundi mitambo mkuu wa Clouds TV tayari kuhakikisha kila kitu kinakwenda sawa.
Home
Unlabelled
Clouds TV na Prime Time Promotions zapeperusha jina la nchi kwa umahiri wa uandaaji matamasha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...