Andy Caroll akipongzwa baada ya kupiga bao la kwanza kabla Suarez hajamalizia kazi leo kwa Everton Uwanjani kwao na kutoka kidedea kwa bao 2 mtungi kama kawaida ya Bwawa la Maini. Chini Ankal akiwa Anfield yake akiangalia gemu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hongera sana Faza......ushindi ni ushindi tu, hata kama umengoje mpaka wawe kumi uwanjani...........

    ReplyDelete
  2. Mimi nimependa hiyoya chini I LOVE NY lakini hiyo ANFIELD hamna lolote nguvu za soda tu...

    ReplyDelete
  3. Uncle....nyie mshuruni tu yulle refa.....!!..otherwise mngeramba nyingi...!!..kiukweli

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...