Shirikisho la ngumi Tanzania (BFT) kwa kupitia chama cha waamuzi wa ngumi za ridhaa wameteua na kuwadhibitisha waamuzi watakao tumika katika mashindano ya ubingwa wa Taifa yatakayofanyika kuanzia tarehe 17-22/09/2012 uwanja wa taifa wa ndani.
Waamuzi walioteuliwa ni:-
Mohamed Kasilamatwi mwamuzi wa kimataifa na Juma Selemani mwamuzi wa Afrika kama wasimamizi wa waamuzi.
Waamuzi wa ngazi ya taifa walioteuliwa ni:-
Maneno Omari, Ridhaa Kimweli. Mohamed Bamtulla, Shija Masanja. Mafuru Mafuru, Moshi makali. Hamza abdallah na Marko Mwankenja.
MAKORE MASHAGA
(KATIBU BFT) 0713588818
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...