U.S. Ambassador Alfonso E. Lenhardt, (center front row), the Acting Permanent Secretary, Prime Minister's Office for Regional Administration and Local Government (TAMISEMI), Mr. Alphayo Japani Kidata, (left front row) and Peace Corps Country Director Dr. Elizabeth O'Malley (right front row), with Peace Corps Tanzania Volunteers. Ambassador Lenhardt swore-in the 39 Volunteers for their two years of service to Tanzania on December 12 at a ceremony at the U.S. Embassy in Dar es Salaam. The volunteers will be stationed in 17 districts, including Lushoto, Singida Rural, Ludewa, Njombe, Mbeya Rural, Kondoa, Mpwapwa, Kiteto, Bahi, Hanang, Mbinga, Songea Rural, Songea Urban, Newala, Masasi, Mufindi, Iringa Town, Makambako and Same.
Home
Unlabelled
US Ambassador Swears Into Service 39 Peace Corps Volunteers
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Nakumbuka hata Mh. Balozi wa USA alipokuwa kijana alifika Tanzania kujitolea kama Peace corp hivyo hata hawa vijana wa kimarekani pia watafaidika na kufanya kazi za kujitolea na pengine mmoja wao atakuwa Rais wa Marekani miaka 30 ijayo.
ReplyDeleteSio kweli, please check your facts, Balozi aliyepo hajawahi kufika Tanzania kabla wala kuja kufanya kazi ya kujitolea ya Peace Corp
ReplyDeleteInanikumbusha enzi za utawala wa (mareh.)Rais John Kennedy wa Marekani wakati huo akiwa rafiki yake mkubwa Mwl.Nyerere(RIP),walikuja Waalimu mbalimbali wa kujitolea (Peace Corps)na kusambazwa shule mbalimbali nchini,Na Iringa Mjini ilibahatika kupata baadhi ya walimu hao,bado sijasahau na sintosahau,wale walimu walitusaidia sana sana!Walikuwa wanajua kufundisha na waliipenda kazi yao mpya,hususuna katika masomo ya Hisabati,Kiingereza,na Sayansi!Looks like,the good times are coming back for our children in primary and secondary schools!So,seize this opportunity to learn more and more seriously!Karibuni sana Tanzania!
ReplyDelete