Mhe. Waziri wa Fedha Dkt. Wiliam Mgimwa akitia saini kitabu cha wageni kwenye Ubalozi wa Jamhuri ya Tanzania, Washington, DC Jumamosi April 20, 2013 baada ya Ubalozi kumualika kwenye chakula cha yeye na ujumbe wake.
 Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Mhe. Lily Munanka akiamuangalia Mhe. Waziri wa Fedha Dkt.  Wiliam Mgimwa akitia saini kitabu cha wageni, Ubalozi wa tanzania nchini Marekani uliopo Washington, DC.
Kutoka kushoto ni Afisa Ubalozi Suleiman Saleh, Mhe. Waziri wa Fedha Dkt. Wiliam Mgimwa, Kaimu Balozi Mhe. Lily Munanka na Afisa Ubalozi Paul Mwafongo katika picha ya pamoja na Mhe. Waziri

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Nikikumbuka maoni ya kaka benja mwaipaja ktk kijiwe chetu, alisema wakubwa wakija huku kama muda unaruhusu wakutane najumuiya walau waweze kusikia waliyonayo.

    ReplyDelete
  2. Kida lo Munanka! Eni ni Munawomi! I love your name Ms Honorable!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...