Meneja wa kinywaji cha Grand Malt, Consolata Adam akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo wakati wa kutangaza Tamasha la Wazi la Filamu Tanzania maarufu kama ‘Grand Malt Tanzania Open Film Festival’ mwaka huu ambalo linatarajiwa kufanyika katika Viwanja vya Sahara jijini Mwanza.Kushoto ni Mratibu wa Tamasha hilo,Mussa Kisoky na kulia ni Meneja Habari na Mahusiano wa TBL,Edith Mushi.
Mratibu wa Tamasha Tamasha la Wazi la Filamu Tanzania maarufu kama ‘Grand Malt Tanzania Open Film Festival’,Mussa Kisoky akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) namna alivyojiandaa na Tamasha hilo ambalo Mwaka huu litafanyika jijini Mwanza.
Msanii wa Filamu kutoka Bongo Movie,Jacob Steven (kati) akizungumza na vyombo vya habari juu ya Tamasha hilo huku akiwataka wananchi wa jiji la Mwanza kujitokeza kwa wingi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 13, 2013

    DUH! HAO WATU WA GRAND MALT JAMANI MBONA WOTE WANENE, FANYENI MAZOEZI LOH

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 13, 2013

    wee annony hapo juu hujasoma kichwa cha habari
    inaitwa Grand Malt
    Grand means big, kama unanielewa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...