Makamu wa pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi
Zanzibar, Mhe. Balozi Seif Iddi akimkabidhi Kikombe cha Zawadi ya Mshindi wa
kwanza wa jumla wa Maonesho ya Nane Nane Kitaifa, Kamishna Msaidizi wa
Magereza, Mlasani Kimaro akipokea kwa niaba ya Kamishna Jenerali wa Magereza
katika Kilele cha Sherehe za Maonesho ya Nane Nane, yaliyofanyika Uwanja wa
Nzuguni, Dodoma
Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la
Magereza, Mlasani Kimaro akinyanyua Kikombe cha Ushindi wa Jumla katika
Kilele cha Maonesho ya Nane Nane Kitaifa yaliyofanyika Nzuguni Dodoma na
yamefungwa rasmi na Balozi Seif Iddi, Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya
Mapinduzi Zanzibar(
Makamanda wa Jeshi la Magereza walioshiriki
Maonesho ya Nane Nane Kitaifa wakifurahia ushindi walioupata kuwa Mshindi wa
kwanza wa jumla katika Maonesho ya Wakulima - Nane Nane yaliyofungwa
rasmi na Makamu wa pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhe. Balozi
Seif
Baadhi ya Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza
walioshiriki Maonesho ya Nane Nane Kitaifa wakifurahia ushindi wa kwanza wa
jumla wa Maonesho hayo huku wakiinua juu Makombe ya ushindi huo baada ya
kukabidhiwa rasmi na Mgeni Rasmi
Picha zote na Lucas Mboje wa Jeshi la
Magereza
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...