Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akiwa darasani pamoja na wanafunzi kusikiliza namna mwalimu anavyowasomesha wanafunzi hao wa skuli ya Sekondari ya Madungu, Chake Chake Pemba.
 Maalim Seif akiangalia maktaba ya Skuli ya Fidel Castro ambayo inakabiliwa na upungufu wa vitabu, wakati wa ziara yake katika taasisi za elimu kisiwani Pemba.
 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akipokelewa na makamanda wa vikosi vya (14 na 151 KJ) wakati akiwasili katika kambi ya jeshi ya Ali Khamis Camp Vitongoji, kuangalia maendeleo ya skuli ya msingi iliyo chini ya Jeshi hilo.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza katika eneo la skuli ya Ali Khamis Camp Vitongoji.
Picha na  Salmin Said, OMKR

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...