Hapa ni studio za OM Productions Kinondoni Mkwajuni jijini Dar es salaam wakati mwanamuziki wa Kizazi kipya Hafsa Kazinja alipokuwa anakamirisha kurekodi ngoma ya 'Nimuokoe nani' ya NUTA Jazz band katika kumuenzi mkongwe Muhidin Maalim Gurumo ambaye amestaafu. Waliomsaidia kurekodi ngoma hii ambayo imemrudisha katika chati ni wakongwe Omary Mkali na Abdul Salvador a.k.a Father Key Devu...
Home
Unlabelled
Ngoma ya NUTA JAZZ YAMRUDISHA HAFSA KAZINJA KATIKA CHATI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Jamani watanzania turudishe miziki yetu ya zamani ili tuwaenzi na pia utamaduni.Safi hafsa
ReplyDeleteBig up dada Hafsa.
ReplyDelete