Mkurugenzi wa Kampuni ya Quick Promotions,George Tyson (wa tatu kulia) akiongoza Majaji katika Usaili kwa Wasanii wapya wa Filamu zinazotarajiwa kutengenezwa hivi karibuni kupitia kampuni hiyo.Usaili huo unafanyika kwenye Uwanja wa Leaders Club,Jijini Dar es Salaam.
 Mmoja wa Wasanii wapya wanaotafutwa kwenye Usaili huo,akionyesha kipaji chake mbele ya Majaji hao.
 Utaratibu wa Usaili ukiendelea katika Viwanja vya Leaders Club,jijini Dar.
Wasanii mbali mbali wakiwa kwenye viwanja hivyo kusubiri zamu yao ya kuonyesha vipaji walivyonavyo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...