Mratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Bi. Magreth Sembuyegi akiwasilisha mada juu ya Ushirikishwaji wa Jamii katika Miradi ya Maendeleo, katika Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Same, Kilimanjaro jana.
Mwenyekiti wa Kikundi cha PAPA Bw. Daudi Mpombe (Kushoto) na Mwenyekiti wa Kikundi cha MWALA Kata ya Vunta Bw. Jonathan wakiandika masuala yaliyokuwa yakiwasilishwa na Mratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Bi. Magreth Sembuyegi (hayupo pichani) jana katika Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Same, Kilimanjaro.
Mkuu wa Wilaya ya Same Bw. Herman Kapufi (mwenye Suti) akiagana na Mratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Harrison Chinyuka mara baada ya kufunga mafunzo ya Kuijengea Jamii Uwezo Wa Kupunguza Athari Za Maafa Kwa Mikoa Iliyoathirika Zaidi Na Ukame jana katika Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Same, Kilimanjaro (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...