Naibu waziri wa Viwanda na biashara na mgombea ubunge wa jimbo la ileje
mkoani Songwe, Janet Mbene akisalimiana na vijana waliotokea kumlaki
katika kata ya isoko walayani hapo.
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Janet Mbene akipokea zawadi ya ungo
kutoka kwa mwakilishi wa wasuka ungo wa bundali. Picha na Humphrey
Shao.
Naibu waziri wa Viwanda na biashara na mgombea Ubunge katika jimbo
la Ileje mkoa wa Songwe,Janet Mbene akitembea huku mamia ya watu
wakimfuta nyuma mara baada ya kumalizika kwa mkutano wake na wajumbe wa
halmashauri wa kata ya Isoko kuomba wamchague katika uchaguzi wa kura za
maoni za CCM. Picha na Humphrey Shao.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...