Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt.Hamisi Kigwangalla,(kulia) akiwa kati,ka ibada maalum ya maadhimisho ya 24 ya kuwaombea wagonjwa duniani ambayo kitaifa yamefanyika leo mkoani humo, katika wilaya hiyo.Kulia niMkuu wa Mkoa wa Tabora, Ludovick Mwananzila na Kwanza mbele Naibu Askofu wa Jimbo Kuu la Kanisa la Katoliki la Tabora .
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee Dk. Hamisi Kigwangalla (aliyekaa) akiwa katika ibada maalum ya kuombea wagonjwa duniani iliyofanyika leo katika Hospitali ya Ndala,Nzega Mkoani Tabora. Wengine kulia ni Rudrovic Mwananzila na kushoto kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Nzega, Jacqueline Liana.

Dk. Kigwangalla akitoa zawadi kwa mmoja wa akina mama waliokuwa kwenye wodi ya wazazi katika Hospitali ya Ndala, iliyopo Kata ya Ndala, Wilaya ya Nzega, mkoani Tabora.

Baadhi ya wananchi wakiwa katika tukio hilo. (Picha zote na Andrew Chale,modewjiblog-Nzega.)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...