Ajali iliyohusisha Basi la Kampuniya Ndenjela na basi ndogo aina ya Toyota Hiace, imetokea mapema leo asubuhi katika eneo la St Agrey Uyole, Jijini Mbeya na kupelekea watu kadhaa kujeruhiwa, huku wengine wakidhaniwa kupoteza maisha. Chanzo cha ajali hiyo, inaelezwa kwamba ni basi hilo dogo kuingia barabara kubwa bila ya tahadhali, hali iliyopelekea kugongwa na Basi hilo la Ndenjela lililokuwa safarini kuelekea Jijini Dar es salaam.Picha na Fadhil Atick MR PENGO, GLOBU YA JAMII, MBEYA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...