Mkurugenzi wa kampuni ya Jaffery Industry Saini LTD Ndg. Vinshal Singh
Saini akitoa maelezo juu ya hatua iliyofikiwa katika ufugaji meza mpya
katika ukumbi wa Bunge kwa Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah
(mwenye miwani) alipotembelea kujionea hatua ya ukarabati wa Jengo la
Bunge ilipofikiwa.
Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah akijaribisha kukaa katika moja
wapo ya kiti kilichofungwa katika meza mpya kwenye ukumbi wa Bunge.
Kulia kwake ni Mkurugenzi wa kampuni ya Jaffery Industry Saini LTD Ndg.
Vinshal Singh Saini akimpa maelezo juu ya namna viti na meza hizo
vitakavyokuwa vinatumika baada ya kukamilika.
Mwonekano wa Meza Mpya zilizofungwa katika Ukumbi wa Bunge
Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah akitoa maelekezo kwa Mkurugenzi
wa kampuni ya Jaffery Industry Saini LTD Ndg. Vinshal Singh Saini mara
inayofunga meza mpya katika ukumbi wa Bunge maada ya kukagua ukarabati
wa Jengo la Bunge.Picha na Ofisi ya Bunge




Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...