Mkuu wa Mauzo Vodacom Kanda ya Dar es Salaam na Pwani, Brigita Shirima (mwisho kulia ) akiwa na washindi wa promosheni ya ” Show Love ” Tule Shangwe ambao wamejishindia Tv za kisasa ( smart Tv ) washindi 4, Simu Janja ( smartphone )  washindi 3, na washindi 5 wamejishindia safari kwenda k utalii.  Ili uweze kujishindia zawadi mteja wa Vodacom unatakiwa kununua bando au kutumia huduma ya M-Pesa kwa umpendae kwa kupiga × 149 * 01#

Mkuu wa Mauzo Vodacom Kanda ya Dar es Salaam na Pwani, Brigita Shirima akishoo love na Masta Shangwe

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...