Home
Unlabelled
Aikambe mekku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
na huyo mzee aliyeweka 4 ndio mmiliki wa kituo cha biashara ulimwenguni.
ReplyDeleteSasa Michuzi mambo ya kutiana kiu acha. Kama ni hivyo nipostie kabisa basi nami "nirie" kidogo mmeku oko. Sha!
ReplyDeleteHapo wanatia divai yetu ya asili. Mpaka leo sijui kwanini Wakristo wa kule Marangu na sehemu nyingine kama Machame (Nkya upo?) wanatumia mvinyo wa zabibu kwa ajili ya sakramenti badala ya kuria "mbeke."
Apa lanye!
ReplyDeleteHivi mchuzi hii tabia ya kuingizana majaribuni utaiacha lini(Jokes).
Yaani nilivyoona wazee wetu wakidumisha mila mate yalichuruzika kama maji nikitamani nipate japo suna.
Aisee kaka michuzi,yaani umenikumbusha Maisha ya pale Kijijini Mkiashi,kilema!!Mbeke tamu jamani.
ReplyDeletehauxtable.