Home
Unlabelled
kapet
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kibanda hicho kipo njia kuelekea Millenium Towers, au sio?
ReplyDeletemwenzenu hapo Michuzi anawaonyesha hiyo couple, denti na jamaa kabebeshwa begi
ReplyDeletemacarpet bongo hayyafai kwanza joto linazidi na kulimanttain linahitaji hoover la sivyo linavumbi baya sana kwa afya ni soo,bongo inafaa tiles ndio nzuri kwa weather
ReplyDelete...karibu kila kitu!!!!!
ReplyDeleteTunavitengeneza lakini? Ama tu wakala wa nhi za nje?
This comment has been removed by a blog administrator.
ReplyDeletewabongo bwana,wasione watu wawili wa jinsia tofauti wanaongozana lazima wawatungie story,utafikiri walikuwepo kwenye makubaliano,
ReplyDeleteinawezekana ikawa ni mtu na dada yake,
mshkaji anaona sister kachoka kwahiyo kasaidia begi.
Tena jamaa kashikishwa pembe!
ReplyDeleteHapo ni shule ya uhuru, benjamin mkapa sec
ReplyDeletewe mtu wa February 28, 2007 4:26:00 PM acha mambo ya kuiga, watu tangu tunakuwa tuna makapet na hoover hatuna lakini carpet ni safi sana na joto tumelizoea Dar. Na kila mtu anajitahidi kuweka tiles sio kwa sababu ya kupunguza joto,tunakwenda na wakati.
ReplyDeleteMshamba mkubwa!
Michuzi inaonekana untupenda sanaaaa...au.....???!!!! manake unatutamanisha kila siku ili turudi home.....keep it up....lakini nikinunua carpet na chumba nitapanga kimoja manzese kweli hivi vitaendanda hapo...na hiyo carpet machine nitaspend nayo hela ngapi...na huo umeme upoooooo????? yangu macho.... ....
ReplyDeleteHuyo anon wa juu ata usa kwenyewe kila kitu ni cha china, taiwan honduras n.k juzi niliona bendera ya taifa made in china
ReplyDeleteMichuzi siku nikisia umekuwa mshauri wa Rais nitasema kweli TZ hatutaendelea. Vitu ambavyo umekuwa ukifagilia humu vinatosha kueleza wewe ni mtu wa aina gani. UNGETUAMBIA HIVYO VITU VINAZALISHWA NCHINI BADALA YA KUPATIKANA tungeona umelonga.
ReplyDeletewatu wengine bwana ubishoo tu hizo tiles mmmezijua juzi basi hatusemi !!!!!!washamba bwana !kapeti umenunua hapo*2 leo unabana pua eti carpet mafua lol.
ReplyDeleteBadala ya kukimbilia kufikiri kuwa watu wengine ktk maoni yao wanajivuna nk,tujaribu
ReplyDeletekuzingatia zaidi maono yao!Ni kweli kuwa kapet (zile za nyuzi)hazifai sehemu nyingi za Bongo.Zinatumika kwenye sehemu za baridi kutia joto sakafu na nyumba kwa jumla au kwa wale wasiopenda kuwa na makochi hukaa juu ya makapet.Utunzaji wa makapet nao una gharama zake.Hivyo inabidi tujiulize; je inastahili? Siyo mambo ya kwenda na wakati bali ni mambo ya umuhimu/mahitaji.