bosi wa zamani wa bbc idhaa ya kiswahili tido mhando (shoto) akichati na mkongwe wa bbc ali saleh na suzanne mungy jana

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 30, 2007

    Mr. T. Mhando, hongera sana kwa kuonyesha uwajibikaji wa kazi yako. Pamoja na kuwa bosi lakini tunakuona kwenye luninga katika kipindi cha Bungeni wiki hii ambacho unakiendesha wewe mwenyewe. Tofuti na viongozi wengine kazi yao kutoa maelekezo tu bila kuonyesha mfano. WE unafaa kuwa mwalimu kwani mwalimu kamwe haachi asili yake hata kama anacheo gani.Kipindi kizuri sana na unakimudu vizuri ispokuwa tu kuna wakati huwa kuna matatizo ya kiufundi.Well done.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...