Home
Unlabelled
WAMEPENDEZA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
ni rahaa tu leo oyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
ReplyDeleteYANANI LEO COMMENTS NAZO ZIPO HURU HAZICHUKUI MUDA KUFIKA RAHA SANAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
ReplyDeleteutamu zaidi ni pale watani zetu wa jadi wafuata nyayo wanapoendekeza uteja kwa eritrea.. aaaaah si tunajidunga tu asa hivi. na kwa taarifa yako mechi ya kesho msumbj nimeshaanza kuinywea
ReplyDeleteYaani leo ni raha tupu, kama mdau wa hapo juu ulivyosema hadi Michuzi kaachia milango wazi, furaha hadi kwenye message (Special for to night/day)
ReplyDeleteGAZ
Pamoja na Furaha, mimi kwa maoni yangu kuna wachezaji kwa sasa hawana jipya nao ni Shadrack na SMG.
ReplyDeleteOtherwise tujiandae na mchezo unaokuja, hata hivyo naomba Msumbiji wamfunge Senegal au maana Senegal akikutana na Bukina atamplamba tu... Naomba kutoa hoja
Mmmmh leo comments zinaingia tu bila kuzuiwa....nahisi Michuzi yupo mtaani anasheherekea.
ReplyDeleteWadau Tanzania hivi tulishawahi kushinda kwenye ardhi ya West Africa? Wanahistoria wa michezo naomba mnihabarishe.
Wadau kwa vyovyote vile kama tukijaaliwa kufika Ghana na tukicheza mechi zisizopungua tatu,,, Henry Joseph hata rudi na ndege itakayokuwa imewapeleka huku!!!
ReplyDeletemwambiene huyo mbrazil amuongeze pawasa haraka sana,kutokana na pengo la costa,sijafurahishwa na defence.ila maximo nimemkubali kwa saikologia yupo sawa,wachezaji wameiva kisaikologia kwa 100%
ReplyDeleteKumbe itiiz tru uwezo tunao, nia tunayo TZ 1 - BF 0. Next !!!!!!!!.
ReplyDeleteSiku kama ya leo ndio inanifanya nikumbuke hasa na nitamani kuwa home (bongo). Hapa saizi washkaji karibu wote walionizunguka wala hata hawajui kama kulikuwa na mechi.
ReplyDeleteLeo kwa kweli Kilimanjaro zingenikoma---basi itabidi nijidunge na Heineken au budwiser mala nimalizapo kumtumikia mzungu hapa job.
Michuzi na Mjengwa hongera zenu kwa maana mnatunganisha na bongo na data za bongo kiasi ya kwamba inasaidia kufuta upweke tulionao.
kj-204
Huu ndio ushindi wa kwanza kwa timu ya taifa ya Tanganyika,Zenji na Tanzania huko Afrika Magharibi.Vijana wanastahili pongezi za hali ya juu.Yaani nina raha leo ila msije kunikopa tu,washenzi nyie!!.
ReplyDeleteHuenda michuzi ameenda mitaa ya magogoni kutuletea photos mpya maana mechi hii ingechezwa milango ya jioni saa za EAT,,, ajali zingetokea nyingi sana hapa Dasalama
ReplyDeleteBaaaab Kubwaa!
ReplyDeleteSafi sana ila tujipange manake tusije eenda tolewa kule Ghana
ReplyDeleteWeweeeeeee, Uwiiiiiiiiiiii, yahayahayahayaha, hihihihiihiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, ndiooooooooooooooooo, tihitithiiiiiiiiiiiiiiii, nimezimia jamani....hakuna mtu hapa nitajizinduaje?
ReplyDeleteJk boyz oyeeeeeeee
ReplyDeleteMichu, weka hii:
ReplyDeleteTunaongoza kwa sasa.
2008 Nations Cup Group 7
P W D L GF GA Pts
Tanzania 5 2 2 1 4 6 8
Senegal 4 2 1 1 6 2 7
Mozambique 4 1 2 1 4 4 5
Burkina Faso 5 1 1 3 4 7 4
oya oya oya oyaaaaaaaaaaaaaaaa!!
ReplyDeletekwa kweli wamependezaaa yaani mimi nipo ughaibuni ila kusema kweli JK boyz leo mmenipa raha sana natamani ningekuwa bongo nishuhudie mapokezi kesho michuzi big up leo nimeshinda kwenye blog yako napata rahaaaa tu Tz hoyeee, Jk oyeeee,Maximo oyeeeee
ReplyDeleteMmichuzi tunaomba kesho wanaporudi utupe mapokezi yao
Jamani hapa Washington DC, ni furaha tu, mimi sasa hivi ndiyo kwanza nimetoka Safari Restaurant hii ni ya Wakenya, wenzetu vichwa chini sisi furaha tupu... JK Boys hongereni sana. Lakini mechi ijayo ni ngumu sana, nadhani wanafadhili bado wana mipango ya kuwapeleka Ulaya kwa mazoezi.... very Maximo amepewa kadi, lakini tumtumie yule wa Vijana..... Jamani Ghana lazima twende...
ReplyDeleteI HATE THE NAME JK BOYZ....SHOULD BE TAIFA STAR PERIOD....
ReplyDeleteur ryt anony of june 17,10;28
ReplyDeletets shuld be taifa starz period n nat jk boyz coz this z a national team n nat kikwetez team,cum on Tanzanians dont be stupid,this team was there b4 kikwete to become the president so jst col t taifa starz,they do luk gud in their white outfit n may God bless u thru out