february 19, 1967: mwalimu nyerere akimtuza medali mwenyekiti wa kwanza wa baraza la mapinduzi na rais wa zanzibar mzee abeid amani karume kwa utumishi uliotukuka kwa wananchi wa visiwani, huku mama maria nyerere na mama fatuma karume wakishuhudia. kwa heshima ya mzee karume aliyeuwawa kwa kupigwa risasi siku kama hii mwaka 1972 katika ofisi za chama cha Afro Shirazi, Kisiwandui, leo ni siku ya mapumziko
Home
Unlabelled
leo ni siku ya karume
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Bablii u wapi? mwanamapinduzi? lete historia tafadhali!
ReplyDeleteSi!Mnaona !Mama wa taifa Maria Nyerere!Yupo kawaida tu!Bila ya mkorogo wa majivuno,Mama huyu ni mfano wa kuigwa kwa kinamama wa vigogo na vigogo
ReplyDeleteBrother Michuzi
ReplyDeleteKwa wapenda historia ya Kisiwa cha Zanzibar mwaweza kutembelea webusaiti iliyoonyeshwa hapo chini, Ina picha lukuki na maelezo mafupi mafupi haswa kwa wadau wa blogu kama hii : http://www.zanzibarhistory.org
Mdau
Mpenda Historia
Hawa ndiyo viongozi wa kweli, angalia baba wetu wa taifa Mkatoliki safi lakini katia kibandiko! Leo watanzania wanaongelea udini. Wakati huo it did not matter, dini ni nafsi yako. Wote wako simple viongozi pamoja na wake zao. Kwani wakati huo kulikuwa hakuna gold au vitenge vya kumetameta vinavyogharimu malaki? Lakini walijua umuhimu wao kwa jamii ndiyo maaana kutumia malaki au mamilioni kwa kuvaa ilikuwa inatuma ujumbe tofauti kwa jamii. THEY REALLY STOOD AS REAL MODEL!
ReplyDeleteNa enzi hizo jamani...aaaaah msitukumbushe kwani Unguja sio kisiwa cha amani bali jela la dhuluma...foleni za mikate,sukari,chumvi mpaka asubuhi!!!duh,ukitiwa ndani hata kwa kosa dogo...basi adhabu mpaka unaomba kifo,na kweli wahenga walivyosema...baada ya kila ubaya kuna uzuri...naam
ReplyDeleteBarua kwa wazee wetu hawa walio kuzimu,
ReplyDeleteWAZEE FATHER K aka Mzee Abeid Aman
Karume na Baba Mzee J.K,Nyerere,huko mliko kuzimu,sisi watoto wa taifa hili tunawakumbuka kweli kwa yale milio tujengea aswa msingi wa umoja yaani Wavulana wa kiswahili tunafunga ndoa na warembo wa kiarabu hapa visiwani na huko bara ndoa za mchanganyiko wa dini na makabila mbali mbali zinafungwa kila siku,
LAKINI! JAMBO KUBWA LA KUSIKITISHA WAZEE TOKA MTUTOKE KUTANGULIA HUKO
MLIKO MBELE YA HAKI!basi sisi watoto wa nchi hii tupo kwenye mashaka ya maisha!
Wenzetu tulio wachagua kutuongoza wametuzidi kete kwa UFISADI
Maalimu Sefu Sharif nae huku Visiwani !anafuga midevu kiasi imekuwa msitu heti anadai mpaka achaguliwe kuwa Sultan wa visiwa hivi!hayo machache tu... tunayo mengi yakuwaelezea basi huko mliko
kama mtakaa kikao japo mzimu na mzuka yenu!mhitume hije kuona hali halisi
Nobody shall escape the justice of God on Judgement Day!!
ReplyDeleteWacha siku ije ili waliodhulumiwa wapate haki zao na madhalimu walipwe kwa dhulma zao.
KWA VIPI WANACCM MNAKUBALI SAHIHI ZA WATU HAWA WAWILI KUJENGA MUUNGANO WA TANZANIA? TADAI MAONI YA WANANCHI.
ReplyDelete