Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Nashno au bwawa la maji liliokosesha tiefuefu milioni 40!!Michuzi upo kwenye system bwana,jaribu kuwambia wahusike wakarekebishe drainage system bwana.Kutakuwa na kaufisadi kadogo hapo.

    ReplyDelete
  2. Huo uwanja una historia yake na heshima yake.Hayo Majukwaa ya kukalia watu jamani yanatia aibu!Viwanja vya wenzetu si mnaviona katika Runinga?Uwanja Mpya wa Kisasa uwe kwa ajili ya Mechi za Kimataifa.Iwepo Programu maalum ya muda mrefu na Mialiko mapema kwa Klabu mashuhuri duniani zije zicheze Kabumbu katika uwanja huo.Huu wa Neshno uwe maalum kwa Ligi zetu za hapa nyumbani lakini pia utahitaji uwe wa kisasa zaidi.Du! Basi kila wazo litoke kwa Wachina au Wakorea?Wenyewe tumeukalia!Aibu jamani.

    ReplyDelete
  3. Naona hako nako kalikuwa kashamba kavisadi fulani hivi. Tupilia mbali kuwa kamekuwa kadimbwi mvua ikinyesha bali we' check hizo nyasi zilivyokuwa za njano. Utasikia oh, tunahitaji mtaalam kutoka nje aje atushauri ni nini kifanyike juu ya hizi nyasi kugeuka kuwa za njanooooz! Ah, anyway, hii ndo' bongo tambarare nduguzangu.

    ReplyDelete
  4. Kwanini uwanja wa "Taifa" upakwe rangi za Yanga na Simba? Kwani hivi ni vilabu vya Taifa? Je sisi wa Coastal Union, Majimaji na Mtibwa siyo wa taifa hili? wadau hii imekaaje?

    ReplyDelete
  5. Sasa hilo neshno jipya lililojengwa jirani na hao wachina mbona halitumiki???au litageuka kama sehemu ya hifadhi tunu au hata tembo jeupe???yaani white elephant!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...