JK, kama mzazi anambembeleza mtoto asha omar mwenye umri wa miezi 6 na asha anatulia JK akimbembeleza mtoto asha hadi anatulia tuliiiii
baada ya mtoto asha kutulia, JK anamrejesha kwa mama yake
JK akiendelea kuhutubia baada ya mtoto asha kutulia. hapo ni katika kijiji cha galapo wilaya ya babati






Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...