Mkurugenzi wa Bestman Promotion ambao ni waandaaji wa pambano la ngumi kati ya Rashid Matumla na Francis Cheka akisisitiza jambo wakati Vodacom Tanzania ilipotangaza udhamini wake katika pambano hilo ilitakalofanyika ijumaa. Kati ni bosi wa kitengo cha udhamini na mawasiliano wa Vodacom Tanzania George Rwehumbiza (kushoto) ni Emanuel Mlundwa rais wa PST.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...