Mchezaji wa timu ya Netiboli ya Mkoa wa Morogoro, Ester Mtweve, ( kushoto ) akiwa na baadhi ya wachezaji wenzake wakifurahia jambo mara baada ya kupewa jezi na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Said Kalembo ( hayupo pichani)  wakati alipoianga timu hiyo leo katika  Uwanja wa Jamhuri wa mjini morogoro kwa ajili ya kwenda kushiriki mashindao ya Kombe la Taifa la Mchezo huo, Kibaha , Mkoani Pwani yaliyofunguliwa rasmi leo na Mkuu wa Mkoa wa Pwani Dk. Christine Ishegoma kwa niaba ya JK.  Picha na mdau wa mji kasoro bahari  John Nditi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Naacha roho mbaya na majungu leo!
    HAWA WATOTO WAZURI JAMANI NIMEWAPENDA WOTE

    ReplyDelete
  2. Nditi ongeza nguvu uitoe Morogoro
    Tuma mambo kila siku
    We miss our home
    Tupe vintuz kwa wingi

    ReplyDelete
  3. Cossy Gahanga nawe mchezaji mpira siku hizi?Hongereni.

    ReplyDelete
  4. Nina hisi mkuu wa nanihii wewe kwenu morogoro kwani unaifagilia sana. basi hata siku moja tupe habari za mwisho wa reli kigoma.
    mdau
    kisiju pwani

    ReplyDelete
  5. Enzi zile Netball IMESHAMIRI ..kazi yetu ilikuwa kwenda kuangalia mapaja.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...