kwa mara ya kwanza Tanzania, siku ya akina baba iliadhimishwa tarehe
20.06.2009, katika viwanja vya Biafra. Afya club ilishiriki kikamilifu
kwenye upimaji wa afya za wananchi katika viwanja vya Biafra,
Kinondoni.Picha hizo zinaonyesha baadhi ya wanachama wa afya klabu
wakiwajibika; wanachama wengine walikuwa uwanja wa taifa wakipima afya
za wakimbiaji walioshiriki kwenye Vodacom half marathon jana.
Pia klabu hiyohiyo, jana ilishiriki katika upimaji mwingine wa afya za
wananchi katika uwanja wa uhuru (aka shamba la bibi). wadau wakipima kimo na uzito

oya VISHNU aka mnoko, Mkunde,malisa na truway, wote madoctors, tuambiane basi hilo afya klabu na nasikia linakuwa kampuni kubwa sas, mtu akitaka kujiunga nini masharti yake na kusoma detail za klabu hiyo inakuwaje.
ReplyDeletemmpenedeza wenyewe. ENDELEZENI LIBENEKE, MUWATOE TONGOTONGO MADR. WAZEE WALIOFICHA FANI HIYO VYUMBANI MWAO NA KUISAHAU JAMII. KAZI NZURI.
Always good to see our men coming out to check out their health-Big up!!! I will encourage everyone to know their status.
ReplyDeleteNawapongeza sana hawa madaktari kwa juhudi zao. Nawatakia kila la kheri. Wanajituma sana ingawa mishahara ya midogo.
ReplyDeleteHii Ni safai KabisaLAKINI MSIMU UJAO BASI NI VYEMA KUPIMA SARATANI YA MAPUMBU/INAYOSHAMBULIA WANAUME KWA WINGI. MNAVYOJA MADAKTARI WA KIKE TAYARI WAMEAMKA KUSAIDIA KUONDOA ARATANI YA MATITI BASI NANYI VIJANA MADAKTARI SAIDIA KUONDOA SARATANI YA WANAUME. KWELI MADAKTARI WAZEE NA WENGI WAMEJAA MUHIMBILI WENGI TAMAA MBELE NBILA KUJALI JAMII WACVHACHE SANA WANAOJITOLEA HAPO KANISA LA UPANGA KUSAIDIA MASIKINI LAKINI WENGINI NIN SAWA NA WALIMU WA MUHIMBILI WANAOTAKA KUFA NA FANI ZAO BILA KUWARITHISHA VIJANA MADAKATARI
ReplyDeletendio asaaaa madaktari wazee kwisha habari zao...sijui wanadhani fani ni kuliangalia chumbani lile gauni na kofia mduara alovaa siku anapata uprofesa???
ReplyDeletesafi sana vijana wetu kuwapima ao wanaume jamani wapunguze ufisadi wa tabia chafu za nje ya ndoa,,,na wajua status zao za afya...
na kweli mnalipwa kidogo sana madaktari wetu,kama waalimu
kila la heri