Mkurugenzi wa Taasisi ya amani na utatuzi wa migogoro barani Afrika (IPCS) Cosmas Bahali akifungua mafunzo ya kutunza amani barani Afrika katika ukumbi wa mikutano hoteli ya Beach Comber jijini Dar leo. Washiriki kutoka nchi 19 barani Afrika wanashiriki mafunzo hayo yaliyofadhiriwa na serikali ya Norway.
washiriki wa mafunzo ya kutunza amani barani Afrika wakifuatilia mafunzo yaliyoandaliwa na Taasisi ya amani na utatuzi wa migogoro barani Afrika (IPCS) yanayoendelea katika ukumbi wa mikutano katika hoteli ya Beach Comber jijini Dar leo.
Washiriki wa mafunzo ya kutunza amani kutoka katika nchi 19 barani Afrika wakiwa katika picha ya pamoja nje ya ukumbi wa mikutano wa hotel ya Beach Comber jijini Dar.
Washiriki wa mafunzo ya Kimataifa ya kutunza amani Bw. Raymond Ndamage kutoka Rwanda (kulia) na Karba Abayifaa Moshe kutoka Ghana wakibadilishana mawazo mara baada ya ufunguzi wa mafunzo ya kimataifa ya kutunza amani barani Afrika yanayoendelea jijini Dar.
Picha na mdau Aron Msigwa wa MAELEZO.

mafunzo ya nini? ama kweli! namimi najaribu kuja na idea ambayo mashirika mbali mbali yatamwaga pesa zao nialike watu tupige domu, tule tunywe na kujichukulia kipato chetu, idumu afrika.
ReplyDeleteAmani haifunzwi darasanai wala kwenye mikutano ya watu wachache wenye vitambi
I am sick and tired of all these meeting ,talking,seminar etc ,etc...and no implemetation on the ground. its kind of a new business.
ReplyDeleteThe cause of all these problems in African is white man exploitation.... if they do not give your resources for free and you do not cooperate with them, they will bring you trouble in your country.
solution African must unite we need Nation of Africa (the dream of Marcus Garvey.PK
"Washiriki wa mafunzo ya kutunza amani", Nadhani kaka michuzi hapo wamekosea bali iwe "washiriki wa mafunzo ya kutafuta amani"
ReplyDeleteper diems na facilitation allowances
ReplyDeletesaaafi sana,matumbo yale wapi?
beach komba iko ivooo???naja kulala apo
vekesheni km za mithupu
ReplyDeleteau
retreat tuuu