DJ Bonny Luv na DJ MaCay wakipeleka wadau Old Skul ndani ya Mzalendo Pub Kijitonyama Dar kila Jumamosi. Leo wameahidi kupeleka wadau enzi za 'Yekeyeke' kwenda mbele
DJ Bonny Luv akiwa na trup lake lote. Huyu bwana sio tu yuko juu bali pia anasifika kwa kuweza kurejesha tasnia ya disko mahala pake pa zamani. wadau wameshaanza kuchosha na mayenu


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Kweli huyu jamaa ni kifaa. Lakini mbona haya yanafanywa na dj peter moe pia ama nakosea?

    ReplyDelete
  2. tunavyojua sisi,peter moe siku hizi jumamosi anapiga zhong hua ,ni patam balaa!lkn kila mtu na mtazamo wake

    ReplyDelete
  3. Bonny luv,
    umekuwa kwenye muziki industry sikunnyingi, na umewafundisha kazi vijana wengi. Sasa chakufanya tengeneza a Dj team yako , alafu tumia redio clouds ku promote hiyo team tunajua kabisa kama mko mzalendo kwahiyo ni full team tunapata full entertaiment hiyo location nzuri sana

    ReplyDelete
  4. Hujakosea mdau, peter moe (mwanafunzi wa bonilove) anapiga zhong hua garden chini ya clouds fm (kwa vijana ma yooo yoo)
    Bonilove anapiga mzalendo pub (kwa watu wazima kama mimi) akishirikiana na ndugu zake venture na mackay na mwanafunzi wake mwingine oscar...etiwanaitwa kilosa academia kwakwakwaaaaaa

    ReplyDelete
  5. anzisha matamasha kama Dj awards! anzisha Dj trainning course etc etc

    ReplyDelete
  6. huko bongo mambo yamebadilika aisee,cyo lzm mtu upewe promo na radio flan ndio upate w2,mbona maisha club wanajaza.inategemea una target watu gani...ila hao watu wazima mnaosema sio watokaji wa kila w'end!alafu inatakiwa muhusika uwe na mahusiano mazr na watu wako!pia kiukweli hiyo grooveback tumeicha juu,ni nguvu ya vijana!clouds wana saidia ni m2 wao!kaka pia akubali

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...