nahodha wa tanzania standard newspapers ltd (TSN) betram lengama (shoto) akipokea kombe la ubingwa wa kuvuta kamba wakati wa media day iliyoandaliwa na zain wikiendi hii kwenye viunga vya chuo cha posta kijitonyama jijini dar. TSN waliwashinda kirahisi sana Mwananchi Corporation kwenye fainali baada ya kufanikiwa kuzivuta timu zote bila shida
TSN wakijiandaa kutoa watu nishai
kazi inaanza
Mwananchi, wakiongozwa na Mzee wa Sumo (shati jeupe), hawakuona ndani mbele ya TSN
emmanuel herman wa Mwananchi hio baada ya timu yake kuvutwa na TSN
TSN wakionesha furaha baada ya kunyakua ubingwa
TSN oye!









Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mbona Deo Mushi simwoni hapo. Mwananchi wangetoka mapema sana. Hata hivyo nawapongeza wana TSN kwa kuwachachafya hao 'Wakenya'

    ReplyDelete
  2. Mwananchi walitamani kulia jinsi tulivyowabwaga...ukizingatia hata futball walifika hadi fainali afu wakafungwa na mwanahalisi!
    TSN...TSN...TSN!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...