Baada ya maneno kuzagaa mtandaoni kwamba Ray C ametapeli mapromota wa ulaya dola elfu 4, BONGO5 ilimtafuta Ray C na kumpa nafasi ya kujieleza na kuweka wazi upande wake wa hili swala kwa kupitia njia ya video.
Home
Unlabelled
Ray C alonga na BONGO5
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
HUYU MTOTO NAE ANA VISA!SASA KUTUKALIA MKAO WA KIBATABATA MANAKE NINI?
ReplyDeleteAWAOMBE MSAMAHA WASHABIKI WAKE WA ULAYA MAANA ANAONYESHA KAWAFANYIA VITUKO VINGI SANA HUKO UKISOMA KTK COMENTS
ReplyDeleteEwe anon wa 04:48:00
ReplyDeleteHuo unaitwa ukatili wa wanyama
Cogh koh kohh koohhhhh kikohozi cha ghalfa...duh..koh koh
ReplyDeletepicha yenyewe inaonekana ya kuunga unga, ni yeye kweli?
ReplyDeletembona sura na kiwili wili havina uhusiano, rangi tofauti. miguu na kiuno ka vile rangi za kuchora.