Home
Unlabelled
ujasiriamali jijini Mbeya
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
What is "meck up"...?.
ReplyDeleteWow..Umm.Lol....!!!!
Owner wa hii salon yuko Houston Texas, mpiga maji mmoja hivi (Name with hold)
ReplyDeletenmeipenda hiyo meck up!safi sana.
ReplyDeleteBila shaka hayo ni maeneo ya soko matola!
ReplyDeleteInasikitisha jinsi wajasiriamali wa bongo tunavyotangaza shughuli zetu kwa wana nji wenzetu waswahili - kwa lugha ya kiingereza...tehe tehe.. basi utayaona na mengine yanachosha zaidi... Kwa nini tusiandike kiswahili lugha yetu nzuri sana!!!
ReplyDeletenilikuwa huko wilayani Idodomya juzi nimeona jina la nyumba ya kulala wageni imeandikwa ''LOO GUEST HSE'' duh...
Mjasiriamali huyo, safi sana! Anamlipia kijana University huyo!
ReplyDeleteUnajua watanzania tunajua kuongea na maana ya maneno ya kingereza kama 'meck up'.Tatizo ni spelling.Hii inanikumbusha kuwa elimu ya darasa la saba haitoshi.Teh teh hee
ReplyDeleteInanikumbusha miaka ya 70 nilipita pale Karatu nikamkuta mzee mmoja wa Kipare akiwa na mgahawa wake ameandika hivi "ALL FRANDOS WELKAMOS TO RHOTIA RESTWARANT". Akimaanisha 'All friends are welcome to the restaurant'. Hiyo haina shida mradi wajasiriamali wanatangaza biashara zao. Hiyo ndiyo njia pekee ya kumeck up.
ReplyDelete