Wajumbe wa Kamati ya Huduma za Jamii ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania walipotembelea ujenzi wa Kampasi mpya ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) iliyopo Tunguu, nje kidogo ya mji wa Zanzibar hapo tarehe 7 Aprili, 2010. Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mheshimiwa Omari S. Kwaangw (katikati aliyefunga mikono) na Mheshimiwa Haroun A. Suleiman, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (mwenye suti nyeusi na kofia kati) walijumuika pamoja na Wajumbe wa Kamati hiyo na maofisa wengine wa Wizara na SUZA katika picha hii. Awamu ya kwanza ya ujenzi huo inategemewa kukamilika ifikapo mwezi Juni mwaka huu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali wa Zanzibar. Mhe. Haroun A. Suleiman wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar sio aliyevaa koti jeusi na kofia ila ni yule aliyesimama kulia kwa Mhe. Kwaangw'. Please correct me if I am wrong.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...