Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr.Jakaya Mrisho Kikwete leo ametoa zawadi za Iddi El Hajj kwa vituo mbalimbali nchini vinavyolea watoto yatima na wazee wasiojiweza ili wajumuke na Watanzania wengine kusherehekea sikukuu hiyo kwa furaha.Zawadi hizo nia pamoja na Mbuzi,Mafuta ya kupikia na mchele.Pichan i msaidizi wa Rais Bwana Kassim Mtawa akimkabidhi zawadi ya mbuzi mkuu wa kituo cha kulelea wazee cha Msimbazi Sr.Yusta Mhumbila.Hafla hiyo fupi ilifanyika ikulu jijini Dar es Salam(picha na Freddy Maro)
Home
Unlabelled
JK atoa zawadi za Eid El Haji kwa vituo vya kulele watoto yatima na Wazee
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...