Jaji Mark Bomani ambaye mbali na kuwa ni Mwenyekiti wa Bodi ya SBL lakini pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili ya Vyombo vya Habari nchini akifungua mkutano huo. Pamoja nae kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Tanzania Editors Forum (TEF) Bw.  Absalom Kibanda, Mkurugenzi wa Mawasiliano wa SBL, Bi. Teddy Mapunda na Katibu Mkuu wa TEF Be.  Nevily Meena.
Wahariri wakisikiliza hotuba
wahariri mkutanoni
 Baadhi ya wahariri wa Vyombo mbalimbali vya Habari nchini Tanzania wakiwa katika ufunguzi wa mkutano huo wa siku mbili wa "Editors Retreat" unaofanyika katika Hoteli ya Kibo Palace jjini Arusha wakimsikiliza Jaji Mstaafu Mark Bomani wakati wa ufunguzi wa mkutano huo jana.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 15, 2011

    mimi nilikuwa najua mh.bomani amefungua mjadala wa ardhi ya wadanganyika inayogawia kwa wageni hovyo,au mjadala wa kuhoji mgawo wa umeme na maji,wahariri wanatusaidia nini ktk wakati huu,wanashindwa kuandika chochote kuhusiana na matatizo ya jamii zetu, wao ni siasa tuu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...