Ankal,

Pole kwa mashabiki wa Arsenal. Habari zilizopo kwenye libeneke la klabu hiyo ya Uingereza zinasema uongozi wa klabu umepanga kuwapoza mashabiki wake waliosafiri kuenda kuipa sapoti timu yao uwanja wa Old Traffod, mpango wa kuwapooza utajumuisha kuwalipa gharama za tiketi walizokata siku hiyo timu yao iliponyukwa mabao 8 kwa 2.

Habari njema ni kuwa Mzee Wenger, anajipanga kurekebisha makosa na tayari amekwisha msajili mshambuliaji, kepteni wa timu ya Taifa ya Korea Kusini, CHU YOUNG PARK anayetokea AS MONACO ya Ufaransa. Chu Young Park, mwenye umri wa miaka 26, atakuwa akivaa jezi namba 9 akiwa na washika bunduki hao wa London.

Mdau John.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...