Kabla hujainunua ione mwenyewe hapa :

Jina
Kilimanjaro na link
vitabadilishwa kwenye jina unalotaka

Blog nzuri yenye mvuto na iliyopangiliwa kitaalam inauzwa. Blog hii imekamilika na mara baada ya kuinunua unaanza kurusha habari moja kwa moja. Marekebisho madogo yatahitajika ili kubadili jina na URL link kutegemeana na matakwa ya mteja.

Marekebisho ya jina na URL link pamoja na set up ya blog hii yatafanywa bure kabisa na timu yetu. Tutahakikisha kwamba hupati ugumu wowote katika kuanza kutumia blog hii. Hata hivyo kama unahitaji kuongeza vitu vingine kama logo, matangazo ya biashara na vinginevyo, basi kutakuwa na chaji ndogo ya kulipa.

Baada ya kununua blog hii, hatutamuacha mteja ahangaike. Tunawajali wateja wetu hivyo tutahakikisha tunatoa technical support bure kwa mwezi wa kwanza baada ya kununua blog hii. Baada ya hapo kama bado unahitaji support hiyo, mteja atatakiwa kulipa ada ndogo kutegemea na support unayohitaji.

Bei
Blog kama ilivyo : £79.99 au Tsh 150, 000
Blog na kubadilisha vitu vya kawaida : £89.99 au Tsh 180,00
Blog na technical support miezi sita : £150 au Tsh 250, 00

Wasiliana nasi hapa sasa
Mobile : (0044) (0)7846783365
Maelezo zaidi hapa:

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Ama kweli dunia ya leo ni kuwahi. Hii blog kuuzwa pesa zote hizo kwa kazi gani iliyofanyika? Kila mmoja anaweza kirahisi tena kwa dakika zisizozidi 15 kutengeneza blog nzuri kuliko hii.

    ReplyDelete
  2. Duh! Bongo balaa tunauza kila kitu....hata blog zinauzwa kama nyumba or vitu vingine?

    ReplyDelete
  3. aaaah jamani, Blog yenyewe bei chee sana, kweli kati ya shilingi mia hansini na mia mbili hamsini zinatushinda? Hata nauli ya basi haifiki...cheka mbaya au cm

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...