Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akikabidhi mchango wa sh. mil. 10 kwa Mchungaji George Fute ambaye ni Msaidizi wa Askofu Mkuu wa Kanisa la KKKT,Askofu Alex Malasusa wakati wa hafla ya kuhitimisha harambee ya kuboresha usikivu wa Redio ya Dini ya Upendo 107.7 FM yenye lengo la kuchangisha na kupata kiasi cha sh. Mil. 220 iliyofanyika leo kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee,Jijini Dar es Salaam.
 Mchungaji George Fute ambaye ni Msaidizi wa Askofu Mkuu wa Kanisa la KKKT,Askofu Alex Malasusa akitoa shukrani kwa Mgeni wa Heshima katika hafla hiyo ambaye ni Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa mara baada ya kukabidhi mchango wake pamoja na marafiki zake wa sh. Mil. 10 kwa ajili ya kuboresha na kuongeza wigo mpana wa kusikika kwa Redio ya Upendo FM.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 28, 2012

    waisilamu wakitaka kukuza dini yao wanaambiwa wadini sasa nyinyi tu ndo mkuze dini yetu acheni hizo mungano ufee ufeee hatuutaki

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 28, 2012

    we anonymous uliongerea swala la dini Acha uzamani huo, unadahni dini ni kitu gani kila mtu ana uhuru wa kuabudu, na kwa Tanzania hatuna matatizi ya Uislam na ukristo, tuna tatizo la muungano, na wazibari hata kama muungano utakufa bado ni ndugu zetu kwa sababu ndugu yako ni yule aliye karibu nawe soma vizuri Quran, Uislam ni uungwana achana kabisa na kupotesha watu.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 29, 2012

    wewe anonymous uliyenijibu mimi nimeshaisoma sana QURAN Yangu zaidi unavyoifahamu wewe,akili zako finyu hazioni mbali ndo maana unatoa commen hizo eti dini ni swala la zamani kamulize nyerere ukienda kama ni swala la zamani na huyu lowassa.

    karaga bao tanzania ina udini mulize askofu wako dini ya tanzania ni nini unadhani bado tumelala siyo au tuna sinzia siyo, wewe tanzania ya leo si ya jana bwana watu tumeshaamka, udini upo na udini unaotawala tanzania ni ukiristo.
    peleka pumba zako kwa watoto cheke cheka wewe

    daima ukweli ukidhihiri uongo hutoweka na ndo haya dhahiri shahiri kila leo kukuza kanisa na budget za serikalini zinakwenda huko wakati walipa kodi tunaochangia kwa sana ni waislamu.

    mshazoea kupewa lifti za bure bure safari hii mtakiona cha moto

    ReplyDelete
  4. HONGERA MHESHIMIWA LOWASSA KWA MOYO WAKO WA KUJITOLEA KWA KAZI YA MUNGU.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...