Home
Unlabelled
SHAMRA SHAMRA KATIKA SOKO LA MWIKA, MOSHI VIJIJINI BARABARA YA MARANGU ROMBO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
jAMANI HEBU ANGALIENE MAZINGIRA YA MOSHI NA YA BABATI, MOSHI NI HABARI NYINGINE TUNAPOSEMA KUHUSU TANZANIA JAMANI! NA NDO UKWELI
ReplyDeletemkiweza kuleta hayo maparachichi hapa London nilipo mngepata kiasi cha TSh1000 kwa bei ya jumla kila parachichi moja kubwa lenye kuanzia 200gm.
ReplyDeleteMdau UK
Mngeweza kuniletea hizo ndizi za mtori na machalari hapa London ningefurahi mno maanake nimezimisi hasa kitawa, mangi mmh, hadi mate ya utamu yananidondoka
ReplyDeleteWewe mdau wa pili unataka kuwatia Changa la macho parachichi moja unaweza kupata tsh 3000-4000 hapa London ila yanatakiwa kupekiwa vizuri kwa standard ya ulaya Karibuni mutafanikiwa huku kila kitu pesa!!!!!
ReplyDeletewewe mdau wa uk una akili kweli wewe au unatujulisha tu kuwa wewe ni mtumwa huko uliko
ReplyDeletendio utumbo gani unatuandikia hapa jinga kubwa wee
We Mdau wa london,hayo maparachichi adi yafike,uko yatakuwa yameozea njiani,Aiseee pangekuwa sio mbali kiasi hicho mimi ningeshushaa,huo mzigo maana ninayo ya hatari sana...!
ReplyDeleteMdau Mwika
Shimboni shafo meku!
ReplyDeleteMaparachichi ni bei gani kweli?
Hapa ni pilika pilika za biashara hakuna kulala mtu.
Hata wewe michuzi unaendesha sera ya ukabila ,Umendika" mama wa Kichagga akitafuta mlo wa leo" Hivyo Mama mmoja isingetosha ? Blugs ziwe pia za kuelimiha siyo za kupotosha jamii
ReplyDeleteNIMEKUMBUKA NIMETAMANI MY HOME TOWN,MAPARACHICHI NDIZI POMBE.MWIKA JUUUUUU.MDAU LONDON.
ReplyDeleteWewe unaemcriticize Michuzi ndio mkabila wa kwanza! Get a life, nuksi wewe! Muda wote mmekalia ukabila na udini! Mxiuuuuuu! nenda shule uelimike, ujue nini cha kuongea kwenye public! mnaudhiu sana!!!
ReplyDeleteEddy
Van.
Hivi huyu mdau aliyesema mazingira ya moshi sijui na babati,mbona point yako haileweki yaani mazingira masafi sana au watu wa kule wanajua sana biashara.
ReplyDeletenatamani kungekuwa na kupress like...nimekumbuka mwika madukani....eishhhhhhh
ReplyDeleteDu!! nimekumbuka sana kwetu Mwika. Mwika ni kuzuri sana. Hapo ni biashara kwa kwenda mbele. Mungu awabariki wote wanaoendelea kutumia soko hilo. Mwishowe naomba lijengwe liwe la kimataifa. Mdau wa Mwika
ReplyDelete