LEO NI SIKU YANGU YA KUZALIWA!!! Napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu, kwa kunilinda  mpaka kufika siku hii ya leo hakika ni mapenzi yake yametimia. 

Inshaalah, naomba Mungu aniongezee uhai na uzima. PIA...Nawashukuru wale wote ambao waliweza kuwa nami katika safari  yangu ya maisha mpaka hii leo.
-- 
Regards
Bukobawadau
P. O.Box 316,
Bukoba – TANZANIA
Mobile:MC BARAKA GALIATANO 
+255 715 505043,
              SIR.LOOM   GALIATANO   
+255 768 397241

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Barakobama oups sorry Galiatano, mbona hujasema umefikisha umri gani ?? au umefanya siri !! maana naona kuna jimvi kwa mbali, sema bwana usiogope ,maana umefumba Mungu kakujaalia kufikia hapa WAPI ?? sasa ??? Zebedayo msema kweli

    ReplyDelete
  2. Zebedayo stop guessing!My young brother usimkomaze!!Wapi umeona jimvi???.
    Kila la Kheri MC baraka wa Bukobawadau Blog!!!!Allah Akuongezee Umri mrefu,Afya njema!na Ukija'aliwa kuoa,umpate mke mwema na mja'aliwe kizazi bora Insha'Allah!
    You look Cute Bro wangu!

    Hanny

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...