Mabondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' kushoto akioneshana ufundi wa kutupa masumbwi na Mussa Sunga wakati wa mazoezi yanayoendelea katika kambi ya Ilala wakisimamiwa na Kocha wa mchezo uho Kimataifa Rajabu Mhamila 'Super D' jana. Class anajiandaa kupambana na Sako Mwaisege ' Dunga' siku ya Iddi pili katika Ukumbi wa Diamond Jubilee na Sunga anajiandaa kupambana na Mussa Seif 'Boda boda' katika Uwanja wa Bandari Tandika Dar es salaam.picha na www.superdboxingcoach. |
Home
Unlabelled
MABONDIA KING CLASS MAWE,MUSSA SUNGA WAINGIA KAMBINI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Hiki ndio haswaa Kipaji chetu!
ReplyDeleteNafikiri haya mambo Mpira wa Miguu (Soka),Riadha,Mpira wa Mikono (Basketi) tuwaachie wenzetu!
Kama ni Soka tubaki na Ushabiki wa Timu za Vilabu vya Ulaya na Nchi za Ulaya ni wazi kabisa sisi hatuna chetu!
Kilichobaki ni Tanzania kuhamishia nguvu ushabiki na Jitihada za Mchezo wa Masumbwi!!!
Jamaa wa upande wa kulia picha ya kwanza hapo juu inaonekana amefumba baada ya 'gumi jiwe' la maana kuzama usoni mwake!
ReplyDeleteAhhh maisha yetu haya jamani, baadhi ya ajira zinataka ujasiri hasa si mchezo, hapo kwa mtu legelege si anakula kona na kutunduka ukutani glovu?
Ohhh !
ReplyDeleteMigumi mshike mshike babake.
Mchezo huu Masharo baro, Ma bitozi na Mateja wanauweza?
Mbona hawakufika Olympic? Hata Wasaudia wanatushinda!!
ReplyDelete