Emanule Okwi wa Simba (kulia) akiwania mpira na Aggrey Moris wa Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo ambapo Simba walishinda bao 3-1

Wakati huo huo, Yanga leo imeshika nafasi ya pili katika Ligi Kuu ya Vodacom baada ya kuifunga Oljoro JKT  bao 1-0 katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, jijini Arusha. Yanga sasa itakuwa na pointi 20 wakati simba inayoongoza ligi hiyo imefikisha pointi 22. Azam pointi 18.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...