Home
Unlabelled
Msikilize Dkt. Vicensia Shule
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
ni vizuri umeongea kwa muda wote huu bila kuweka kiingereza ingawa unakijua. ukiangalia interview za wasanii hasa wa kike wanajikweza na kiingereza ingawa hawajui mwishoni wewe mtazamaji ndio unawaonea aibu.
ReplyDeleteHongera Dk. Shule, umeongea bila kumung'unya maneno. Hii inaonyesha jinsi kichwa kinavyofanya kazi na uwezo wa kuchambua mambo hongera sana.
ReplyDeleteDr umependeza sana na nywele zako fupi!! Kazi zako ulizowahi kufanya na zinapatikana wapi?
ReplyDeleteHongera Dk Vice. Nyie akina dada zetu muone wajuvi wa mambo wanavyokuwa wao katika fani na mbele ya jamii. Nyie mnajifanyaga wadhungu wakati hiko kidhungu ni cha ugoko ati mpaka lafudhi mnajitia kama vile mmezaliwa Oslo!! Hongera zako Dk Vicencia Shule.
ReplyDelete