Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na wanafunzi wa Skuli ya Fidel Kastro Pemba leo jioni, Rais alichukua hatua hiyo kusikiliza changamoto mbali mbali zinazoikabili skuli pamoja na wanafunzi wanaosoma katika Skulini hapo,Picha na Ramadhan Othman,Ikulu, Zanzibar
Home
Unlabelled
Dkt Shein azungumza na wanafunzi wa skuli ya Fidel Castro, Pemba
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...