Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kagera, leo kimewafukuza madiwani 8 wa Manispaa ya Bukoba kupitia chama hicho na kufutwa nyadhifa zao za udiwani kutokana na mgogoro uliokuwa ukiendelea



Waliofukuzwa ni:

  1. Richard Gaspar (Miembeni )

  2. Murungi Kichwabuta (Viti maalum)

  3. Alexander Ngalinda ambaye pia ni Naibu Meya (Buhembe)

  4. Yusuf Ngaiza ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM wa wilaya (Kashai)

  5. Deusdedit Mutakyahwa (Nyanga)

  6. Robert Katunzi (Hamugembe)

  7. Samwel Ruhangisa (Kitendaguro) na

  8. Dauda Kalumuna (Ijuganyondo)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Eeeh mmeona sasaa!!? Huo ujinga CHADEMA hawautagi kabisa, na huwa mlikua mnaingilia hadi madiwani na wabunge wa vyama vingine wakitimuliwa, sasa na nyie yamewashindaeeeh!!!? heeee heeeeeeee mnalo hiloooo

    ReplyDelete
  2. aisee we jamaa wa juu hapo unaakili kama panzi...akisikia nyayo anaruka.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...