Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole Waziri Mkuu, Mstaafu Frederick Sumaye  ambaye amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa matibabu leo Januari 12, 2016.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (wapili kushoto) wakizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye amnaye amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa matibabu  leo Januari 12, 2016. Kushoto ni Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu Mama Esther Sumaye na Mama Majaliwa. 

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole Balozi Hassan Kibelloh ambaye amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete katika  hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa Matibabu Januari 12, 2016.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Namsifu sana waziri mkuu mstaafu kukubali kutibiwa Muhimbili ni mfano mzuri wa kuigwa na viongozi wanaopenda kukimbilia ulaya na pesa za walipa kodi. Ugua pole mheshimiwa

    ReplyDelete
  2. This is more than a 5 Star hotel?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...