Familia ya Kalugendo inapenda kukuarika kushiriki nasi kwenye misa ya kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu kifo cha baba yetu mpendwa Mzee Amos Kalugendo, misa itafanyika leo tarehe 12.01.2016 nyumbani kwake Segerea Karakata Bondeni jijini Dar es salaam saa 11 jioni.

Pia katika misa hiyo kutakuwa na Sadaka maalumu ya shukrani makusanyo yatapelekwa kanisani kuchangia ujenzi wa Kanisa na baada ya misa kutakuwa na chakula cha jioni kwa wote. Karibuni sana tujumuike pamoja katika kumuombea baba yetu. Asante

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...